DR. Mfyuzi na Mama Abduli
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 21:51
Katika makala haya, leo tunakuletea wasanii wa maigizo mama Abduli na Dr. Mfyuzi kuzungumzia masuala yatokanayo na fani yao, pamoja na kwaigiza baadhi ya watu maarufu nchini Tanzania na Nje ya nchi.