Muziki Ijumaa

Msanii wa Burundi anaenfanya vizuri Nzeyimana Thomas maharufu Mkombozi

Sauti 10:24
Msanii Nzeyimana Thomas akizungumza na waandishi wa habari nchini Burundi
Msanii Nzeyimana Thomas akizungumza na waandishi wa habari nchini Burundi Ikoh.biz

Makala haya ya Muziki Ijumaa yanazungumzia kuhusu msanii wa Burundi anayefanya vizuri nchini humo Nzeyimana Thomas Maharufu Mkombozi ambaye anaongoza kwa kupewa tuzo nchini humo.