Muziki Ijumaa

Gatho Beevens msanii wa DRCongo alietamba na baadae kukwea katika muziki wa Gospel

Sauti 09:59

Makala haya ya Muziki Ijumaa yanamleta kwenu msanii wa DRCongo, Gatho Beevens msanii aliyetamba na kibaoa kama vile Ngoma ya Kwetu na baadae kaucha muziki huu wa kisasa na kukwea kwenye muziki wa Gospel, ambata na Ali Bilali kujuwa mengi zaidi kuhusu msanii huyu