Nyumba ya Sanaa

Amiri Ali aka Vidarest Mkali

Sauti 20:00

Katika makala haya utamsikia Amiri Ali aka Vidarest Mkali msanii wa Tanzania aliyepatwa na upofu wa macho na kujikita kwenye muziki wa aina yake.