Muziki Ijumaa

Nathalie Makoma msanii wa Uholanzi mwenye asili ya DRCongo

Sauti 11:14
Nathalie Makoma
Nathalie Makoma facebook/Natahalie

Makala ya Muziki Ijumaa Juma hili tunamleta kwenu Nathalie Makoma, mmoja kati ya waimabji wa kundi la Makoma lililopiga fora katika miaka ya kadhaa iliopita. Nathalie kwa sasa anaendeleza gurudumu pekeake, ambatana na Ali Bilali kufaham mengi zaidi kuhusu Msanii huyu. unaweza pia kumfollow Ali Bilali kwenye facebook: Billy Bilali, kwa Instagram: billy_bilali