Habari RFI-Ki

Sudani Kusini kushindwa kuunda serikali ya Mpito

Imechapishwa:

Viongozi wa nchini Sudani Kusini wameshindwa kuunda serikali ya muungano wa kitaifa na waasi wanaongozwa na Riek Machar kama walivyoafikiana Mei 9 mwaka huu huko Jijini Addis Ababa Ethiopia.Katika kuangazia hili pamoja na wewe mpenzi msikilizaji wa RFI, unafkiri ni swala la maslahi binafasi ndio chanzo cha viongozi hawa kushindwa kuweka kando tofauti zao kwa manufaa ya wananchi?na Labda unafkiri nini kifanyike?Makala ya habari rafiki itangazia juu ya hilo kwa siku ya leo

Riek Machar (D) et Salva Kiir (G) lors de la signature de l'accord de paix le 9 mai 2014, à Addis Abeba..
Riek Machar (D) et Salva Kiir (G) lors de la signature de l'accord de paix le 9 mai 2014, à Addis Abeba.. REUTERS/Goran Tomasevic
Vipindi vingine