Habari RFI-Ki

Siku ya Vijana duniani,vijana na afya ya akili

Sauti 09:52
Vijana watahadharishwa kuhusu athari za matatizo ya akili,katika siku ya kimataifa ya vijana
Vijana watahadharishwa kuhusu athari za matatizo ya akili,katika siku ya kimataifa ya vijana zanzinews.com

Ni siku ya kimataifa ya vijana ambapo Umoja wa mataifa umetoa kauli mbiu ya Vijana na matatizo ya akili.Wasikilizaji wa Afrika Mashariki wanaangazia maswahibu ya vijana na yanayosababisha matatizo ya akili...