Habari RFI-Ki

Ziara ya wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Sudan Kusini

Sauti 10:11
Displaced people stay in makeshift tents inside Tomping United Nations base near Juba international airport, where some 12,000 people from the Nuer tribe have sought refuge at, December 24, 2013.
Displaced people stay in makeshift tents inside Tomping United Nations base near Juba international airport, where some 12,000 people from the Nuer tribe have sought refuge at, December 24, 2013. Reuters/路透社

Ziara ya siku mbili ya wajumb wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Mjini Juba katika harakati za kusaidia kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe imetamatika hapo jana, baada ya kukutana na rais Salva Kiir pamoja na kiongozi wa waasi Riek Machar.Huku hali ya mambo katika taifa hilo changa bado sio shwari licha Umoja wa Mataifa, . Je unafkiri ziara hii ya wajymbe wa Umoja wa Mataifa atazaa matunda yoyote?Habari Rafiki itatupia jicho ju ya ziara hiyo