Muziki Ijumaa

Papa Wemba afunga ndoa na Mkewe baada ya miaka 44

Sauti 11:33
Papa Wemba na mke wake Amazone
Papa Wemba na mke wake Amazone

Tarehe nani ya mwezi wa nane mwanamuziki mongwe wa muziki wa Rhumba na mfalme wa mavazi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Papa Wemba, alihalalisha ndoa yake na mkewe Amazone katika kanisa kuu jijini Kinshasa, wageni kutoka maeneo mbalimbali duniani wamehudhuria sherehe hizo, katika Makala haya Ali Bilali anatujuza kuhusu ndoa hiyo. usikosi pia kumfollow kupitia facebook: Billy Bilali na Instagram: billy_bilali