Makala ya Muziki Ijumaa inakuletea msanii wa Bongo Fleva ambaye alikuwa kimya tangu kipindi kadhaa na sasa amerejea ulingoni kudhihirisha kipaji chake kwa mashabiki wake kutoka katika maeneo mbalimbali ya dunia. Ungana na Ali Billy Bilali katika sehem ya kwanza ya makala haya. unaweza pia kumfollow kwenye instagram:billy_bilali na Twitter:papaj4. Karibu.