Nyumba ya Sanaa na Bad Boy

Sauti 19:58
Sanaa ya uchongaji ya Kifouli Dossou, mshindi wa tuzo Orisha, mjini Paris.
Sanaa ya uchongaji ya Kifouli Dossou, mshindi wa tuzo Orisha, mjini Paris. Siegfried Forster / RFI

Makala haya yanakuletea sauti za wasanii wa Ngara-Tanzania wakati wa usaili wa kuibua vipaji, kazi iliyofanywa na msanii wa sanaa ya maigizo Ibrahim Mbwana, al-maarufu kama bad Boy kwa kushirikiana na mwenzangu Julian Rubavu