Muziki Ijumaa

Ali Kiba ndani ya RFI Kiswahili sehemu ya Pili

Sauti 10:02
Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba ndani ya RFI Kiswahili na Ali Bilali
Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba ndani ya RFI Kiswahili na Ali Bilali RFI/BILALI

Makala haya ya Muziki Ijumaa juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mazungumzo ya msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba na Ali Billy Bilali, ambata naye kujuwa mengi zaidi kuhusu kipi kinaendelea wakati huu Ali Kiba akirudi tena kutamba na kibao chake Mwana.