Muziki Ijumaa
Dadyface Msanii wa Burundi anayefanya kazi zake nchini Marekani
Imechapishwa:
Cheza - 10:27
Makala haya ya Muziki Ijumaa inakuletea msanii mwenye asili ya Burundi anayefanyakazi huko Marekani Dadyface ambaye anatamba na kibao kama vile Mama, ungana naye Ali Billy Bilali katika Makala haya.