Nyumba ya sanaa naJumanine

Sauti 20:07

Makala haya yanakujia na lengo la kukufahamisha kuwa msanii Chris jumanine wa Mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ndiye wa kwanza kutunga wimbo kuhusu Ebola tangu janga hilo lizuke upya miezi iliyopita. hebu tumsikilize...