Muziki Ijumaa

Meninah msanii wa Bongo Fleva anayesumbua katika tasnia ya Muziki

Imechapishwa:

Muziki Ijumaa Juma hili inakuletea awamu ya kwanza na msanii Meninah, mmoja kati ya wasanii wa kike wanaosumbua katika tasnia ya Muziki wa bongo fleva nchini Tanzania, ambatana naye Ali Billy Bilali katika Makala haya, unaweza pia kumfollow Meninah Instagram: @meninahladivah na Bilali @billy_bilali

Ali Bilali na msanii Meninah la Diva katika studio za RFI Kiswahili Dar es Salaam
Ali Bilali na msanii Meninah la Diva katika studio za RFI Kiswahili Dar es Salaam RFI/Makundi