Nyumba ya Sanaa

Ifahamu kwaya ya vijana ya Kanisa la Anglikana Mtakatifu Albano, Ilala Dar es salaam

Sauti 21:16
Kwaya ya vijana, Kanisa la Mtakatifu Alabano Anglikana Ilala Dar es salaam, Tanzania
Kwaya ya vijana, Kanisa la Mtakatifu Alabano Anglikana Ilala Dar es salaam, Tanzania

Makala ya Nyumba ya Sanaa Jumamosi  hii, yanaangazia kwaya ya vijana ya Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano Ilala jijini  Dar es salaam nchini Tanzania.Fahamu kazi yao na malengo yao katika mahojiano na  Edmond Lwangi Cheli.