Jua Haki Zako

Siku ya wanawake duniani yaadhimishwa kipekee

Sauti 09:16

Siku ya wanawake duniani yaadhimishwa kipekee mwaka huu huku tathimini zikifanyika kuhusu malengo ya milenia na maazimio ya Beijing....wanawake wazungumzia changamoto zao nhcini Tanzania!