Habari RFI-Ki

Kuendelea kwa ajali za barabarani nani alaumiwe?

Sauti 09:08

Makala ya habari rafiki inaangazia kuendelea kwa ajali za barabarani wakati huu nchini Tanzania kukishuhudia ajali ya basi iliyosababisha vifo vya watu 50 mjini Iringa.