Jua Haki Zako

Tume ya Haki za Binadamu Tanzania:Ukatili dhidi ya watu wenye Albinism Unaaibisha taifa

Imechapishwa:

Karibu katika makala ya Jua Haki Zako juma hili tunajikita jijini Dar es salaam ambapo serikali ya Tanzania kupitia Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora inawakutanisha makundi mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini,wanaharakati wa haki za binadamu,mashirika ya kiraia,wanahabari na raia kujadili mikakati ya kutokomeza tatizo la vitendo vya ukatili na mauaji dhidi watu wenye ulemavu wa ngozi Albino nchini Tanzania.Shirika la kutetea haki za watu wenye ulemavu wa ngozi nchini humo Under the same sun linasema kulingana na tafiti,biashara ya viungo vya Albino imevuka mipaka ya Tanzania na hivyo kushauri jitihada za pamoja kwa kushirikiana na mataifa ya Afrika mashariki na kati kutokomeza vitendo hivyo.........

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete TZ govt
Vipindi vingine