Nyumba ya Sanaa

Sanaa wakati wa Pasaka

Sauti 20:49
Mwimbaji Samwel Borniface Mawanja
Mwimbaji Samwel Borniface Mawanja

Jumamosi hii katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa, tunazungumza na mwimbaji na mwalimu wa nyimbo  za Injili kutoka jijini Dar es salaam nchini Tanzania, Samwel Borniface Mawanja kuhusu muziki wake na Sikukuu ya Pasaka.