Muziki Ijumaa

Luck Justin Msanii kutoka Bukavu

Sauti 11:19
Wasanii wa Bukavu
Wasanii wa Bukavu

Luck Justin ni miongoni mwa wanamuziki wanaofanya viwuri huko mashariki mwa drcongo katika Jiji la Bukavu Mkoa wa Kivu na Kusini. Sikiliza mazungumzo yake na Ali Bilali.