Muziki Ijumaa

Magic Pinokia msanii wa Goma Makala Muziki Ijumaa RFI

Sauti 12:33
Magic Pinokio msanii wa Goma katika Makala ya Muziki Ijumaa na Billy Bilali
Magic Pinokio msanii wa Goma katika Makala ya Muziki Ijumaa na Billy Bilali Pinochet/facebook

Magic Pinokio ni msanii wa kizaki kipya jijini Goma, mashariki mwa DRCongo. Ni miongoni mwa wanamuziki wanaofanya vizuri katika kipindi hiki huko Goma, juma hili amezungumza na Ali Bilali katika Makala ya Muziki Ijumaa. usikosi pia kumfollow mtangazaji wako kwa kugonga hapa @billy_bilali