Muziki Ijumaa

G Luck msanii chipukizi wa Bongo Fleva

Sauti 10:22
Msanii G Luck
Msanii G Luck msafiri

G Luck ni miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva ambao wapo kwenye harakati za kutafuta njia ya kutoka, tayari amepiga hatuwa kubwa katika kufaanikisha malengo yake. Sikiliza Makala haya pale alipozungumza na Ali Bilali wa RFI Kiswahili. Usikosi kumfollow kwa instagram @billy_bilali