Sanaa ya Usanifu majengo Kaole Bagamoyo
Imechapishwa:
Sauti 19:48
Msikilizaji katika makala haya, Nyumba ya sanaa iankuletea mahojiano na Eric Jordan wa Kaole kuzungumzia sanaa ya usanifu majengo ya Makumbusho hayo, tuandamane hadi tamati ya makala haya.