Muziki Ijumaa

Them Mushrooms Bendi ya Kale inayokumbukwa

Sauti 11:33
Bendi ya Them Mushrooms
Bendi ya Them Mushrooms Taarabuzetu

Juma hili Ali Bilali anazungunza na mmoja miongoni mwa wanamuziki wa bendi ya Them Mushrooms kutoka nchini Kenya John Katana ambae anakumbusha kidogo historia ya bendi hiyo na wapi wamefikia. Usikosi kumfollow kwa instagram @billy_bilali.