Hulda Vagheni na Tamasha la mwezi Juni mjini Goma
Imechapishwa:
Sauti 20:31
Katika makala haya mwanamuziki wa DRC Hulda vagheni anazungumzia Tamasha la mwezi Juni mwaka 2016 mjini Goma akiwa kwenye harakati za maandalizi yake pamoja na matarajio yake. Tuandamane hadi tamati ya makala haya...