Cleopas Awinja JTP na Vichekesho nchini Kenya
Imechapishwa:
Sauti 19:42
Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Msanii wa vichekesho Cleopas Awinja JTP wa Kenya kubaini mafanikio na changamoto za uchekeshaji wa jukwaani nchini Kenya.