Muziki Ijumaa

JB Mpiana miaka 35 katika tasnia ya Muziki

Sauti 15:06
JB Mpiana mwanamuziki kiongozi wa bendi ya BCBG
JB Mpiana mwanamuziki kiongozi wa bendi ya BCBG RFI

Makala Muziki Ijumaa juma hili Ali Bilali anazungumzia kuhusu miaka 35 ya mwanamuziki JB Mpiana kwenye tasnia ya Muziki. JB Mpiana ametowa nafasi kwa vijana kujiendeleza kimuziki huku akisisitiza swala la nidhamu. Mengi zaidi ambatana na Ali Bilali katika makala haya, usikosi pia kumfollow kwa Instagram @billy_bilali