Nyumba ya Sanaa

TAMASHA NA VAGHENI HULDA WA GOMA TAREHE 11 JUNI 2016

Sauti 20:31

Makala haya yamebainisha malengo ya Hulda Vagheni katika kuhamasisha amani barani Afrika kwa njia ya muziki. Vagheni amewaalika watu kutoka nchi kadhaa katika ukanda wa Afrika mashariki na kati, msikilize hapa..