Muziki Ijumaa

Samata A ndani ya Studio za RFI Kiswahili

Sauti 10:08
Samata A msanii wa Bongo Fleva ndani ya Studio za RFI Kiswahili Dar es salaam
Samata A msanii wa Bongo Fleva ndani ya Studio za RFI Kiswahili Dar es salaam RFI/BILALI

Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuzungumza na msanii wa Bongo Fleva anaechipukia na mwenye maudhui yenye ujumbe wenye mafunzo makubwa. Ungana naye na usikosi kumfollow kwa istagram kwa kubonyeza hapa @billy_bilali