Nyumba ya Sanaa

Ernest Mtingala na sanaa ya Uchoraji

Sauti 20:00
Ernest Mtingala

Makala ya wikii na Ernest Mtingala yanagusia fani yake ya Uchoraji ambapo msanii huyo anaelezea upeo na thamani ya msanii baada ya mafunzo maalum yatokanayo na taaluma ikijumuishwa na kipaji alichokua nacho kabla ya kujiunga na Chuo cha sanaa cha Bagamoyo nchini Tanzania.