Ramadhan Karim
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 12:47
Makala Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali anakuletea nyimbo mbalimbali za waimbaji kuhusu mwezi mtukufu wa Ramadhani wakati huu mfungo ukiendelea. Twakutakia usikivu mwema, na kama una lolote, basi muandikie mtangazaji wako kwa kutumia barua pepe : alibilali.rfikiswahili@gmail.com, Waweza pia kumfollow kwa kupitia hapa @billy_bilali