Fahamu muziki wa kitamaduni wa Ohangla kutoka Kenya
Imechapishwa:
Sauti 20:30
Msanii wetu wa leo ni Osogo Winyo. Ni mwanamuziki maarufu wa nyimbo za kitamaduni aina ya Ohangla maarufu sana Magharibi mwa Kenya,Tanzania na hata Uganda kutokana na mirindimo ya muziki wake.