Muziki Ijumaa

Masai Prince msanii chipukizi Bongo Fleva

Sauti 11:40
Msanii Masai Prince ndani ya Studio za RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam Juni 29. 2016
Msanii Masai Prince ndani ya Studio za RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam Juni 29. 2016 RFI/BILALI

Msanii chipukizi katika tasnia ya Muziki nchini Tanzania Masai Prince, juma hili ametembelea studio za RFI Kiswahili na kuzungumza na mtangazaji wako Ali Billy bilali kuhusu muziki wake na nini kilichomvutia katika tasnia hii. Usikosi pia kutufollow kwa instagram kwa kugomba hapa @billy_bilali