Nyumba ya Sanaa

Timothee Buliga na sanaa ya muziki wa Injili kutoka Goma DRC

Sauti 21:06
Msanii wa Muziki wa Injili Timothee Buliga Imani
Msanii wa Muziki wa Injili Timothee Buliga Imani RFI

Katika makala haya tumetembelewa na msanii wa muziki wa Injili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Timothee Buliga Imani kutoka mjini Goma akitambulisha wimbo wake mpya "Stop" kwa mara ya kwanza kupitia Idhaa ya kiswahili ya RFI na kuzungumzia dira aliyojipatia kwa fani yake. Karibu.