Sakata la mwanamuziki Koffi Olomide kutupwa ndani

Sauti 14:37
Picha ya mwanamuziki Koffi Olomide mbele ya mahakama jijini Kinshasa 16 Agost 2012. (Image d'archive)
Picha ya mwanamuziki Koffi Olomide mbele ya mahakama jijini Kinshasa 16 Agost 2012. (Image d'archive) JUNIOR KHANNA / AFP

Makala haya Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anakuletea mkasa wa mwanamuziki wa DRCongo Koffi Olomide ambae Julay 22 alifukuzwa nchini Kenya baada ya mkanda wa Video ukimuonyesha akimpiga teke mnenguaji wake kwenye uwanja wa ndege Jomo Kenyatta, na baadae kuomba radhi, lakini licha ya kuomba msamaha, mahakama nchini mwake ilimuhuhukumu kifungo cha miezi 18 jela, ambatana naye kufaham mkasa mzima ulivyokuwa. Mfollow pia kwa instagram @billy_bilali