Muziki Ijumaa

Toxy Star atambulisha wimbo wake mpya

Sauti 11:59
Msanii Toxy Star ndani ya Studio za RFI Kiswahili na @billy_bilali
Msanii Toxy Star ndani ya Studio za RFI Kiswahili na @billy_bilali RFI/BILALI

Muziki ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa kitambo wa miondoko ya Hip Hop kwenye muziki wa Bongo Fleva Toxy Star, ambae hivi karibuni ametoa audio na video yake mpya Chilax, ambatana naye kuelewa mengi zaidi kuhusu mipango yake kwa sasa.