Muziki Ijumaa

Ferre Gola na harakati zake za Muziki

Sauti 10:19
Ferre Gola
Ferre Gola

Juma hili Ali Bilali anakuletea habari za mwanamuziki wa miondoko ya Rumba kutoka nchini DRCongo Ferre Gola. Mengi zaidi ambatana naye katika Makala haya, unaweza pia kumfollow kwa instagram.@billy_bilali, nimekuweka pia moja miongoni mwa video yake mpya aliomshirikisha mwanamuziki kutoka nchini Kenya Victoria Kimani