Muziki Ijumaa

Kebby Boy na harakati za kuvuka boda

Sauti 11:27
Mwanamuziki Kebby Boy (Kushoto) na mtangazaji Billy Bilali (Kulia) ndani ya Studio za RFI Kiswahili jijini Dar Es Salaam
Mwanamuziki Kebby Boy (Kushoto) na mtangazaji Billy Bilali (Kulia) ndani ya Studio za RFI Kiswahili jijini Dar Es Salaam RFI/BILALI

Mwanamuziki Kebby Boy kutoka nchini Burundi ametembelea Studio za RFI Kiswahili jijini Dar Es Salaam nchini Tanzania ambapo amezungumzia safari ya muziki wake wapi imefikia na mpango wake wa sasa wa kuendelea kujitangaza zaidi kikanda na kimataifa huku akiahidi mambo makubwa hapo mbeleni. Yote hayo ni  katika Makala ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali. Unaweza pia kumfollow mtangazaji wako kwa Instagram @billy_bilali