Muziki Ijumaa
Mwamamuziki Timbulo nchini Tanzania ajinasibu kuirejesha Bongo Fleva
Imechapishwa:
Cheza - 10:21
Makala Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali amezungumza na mwanamuziki wa bongo Fleva ambae amekuja kwa kasi kubwa na ngoma yake " Usisahau" ambayo amemshirikisha Baraka De Prince. Hii ni baada ya kukiri kukaa kimya kwa muda wa miaka miwili. Timbulo anasema baada ya kuona Muziki wa Bongo Fleva ukipoteza muekeleo, ameona ni vema kurejesha ile ladha ya Muziki huu wa kizazi kipya nchini Tanzania. Sikiliza Makala haya unaweweza pia kumfollow mtangazaji wako kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali. Video ya kibao hiki Usisahu nimekuwekea pia hapa unaweza kuitazama.