Habari RFI-Ki

Siku ya Kimataifa ya kupiga vita ukatili dhidi ya wanawake na wasichana

Sauti 10:30
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon (Kushoto) akiwa na mmoja wa viongozi wanawake katika siku ya Kimataifa ya kupiga vita ukatili dhidi ya wanawake
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon (Kushoto) akiwa na mmoja wa viongozi wanawake katika siku ya Kimataifa ya kupiga vita ukatili dhidi ya wanawake static.un.org

Leo ni siku ya Kimataifa ya kupiga vita ukatili dhidi ya wanawake na wasichana.Umoja wa Mataifa unatumia siki hii kuomba wafadhili kusaidia kupata hela ili kufanikisha vita hivi.Utafiti unaonesha kuwa mwanamke mmoja kati ya watatu wamepitia ukatili katika kipindi chote cha maisha yake.