Muziki Ijumaa

Muziki wa Salsa (Charanga) na namna ulivyo maarufu duniani

Imechapishwa:

Makala ya Muziki Ijumaa, wiki hii inakuletea burudani na uchambuzi wa Muziki maarufu katika bara la Amerika, nao sio mwingine bali ni Muziki wa Salsa, ungana na mtayarishaji wa makala haya, ambapo anakuchambulia na kukufahamisha kuhusu Muziki wa Salsa ama Charanga kama ambavyo una fahamika kwenye ukanda wa Afrika.

Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro akicheza Muziki aina ya salsa
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro akicheza Muziki aina ya salsa Captura de vídeo