Muziki Ijumaa

Wafahamu wanamuziki wa Ufaransa, Indila na Girac, vijana wanaoimba kisasa

Sauti 10:04
Mwanamuziki wa kike wa Ufaransa, Adila Sedraia.
Mwanamuziki wa kike wa Ufaransa, Adila Sedraia.

Mtangazaji wa makala hii, juma hili amewatazama wanamuziki wawili maarufu nchini Ufaransa, Adila Sedraia maarufu kama Indila na Kendji Jason Maillie maarufu kama Kendji Girac.Wasanii wote hawa wanaimba muziki wa kizazi kipya wa Ufaransa, leo utasikia namna ambavyo lugha ya Kifaransa inanoga kwenye mashairi.