Nyumba ya Sanaa

MUZIKI WA ASILI

Sauti 21:59
Isaack Abeneko msanii wa muziki wa asili kutoka Tanzania
Isaack Abeneko msanii wa muziki wa asili kutoka Tanzania Sabina/rfikiswahili

Katika makala haya unapata fursa ya kumfahamu kwa kina msanii kijana Isaack Abeneko akielezea safari yake ya muziki wa asili, changamoto na faida alizopata katika muziki huu, karibu