Nyumba ya Sanaa

Muziki wa reggae katika kuhubiri amani

Sauti 19:34
Msanii wa  Reggae kutoka Goma DRC Mack el Sambo
Msanii wa Reggae kutoka Goma DRC Mack el Sambo rfikiswahili/Ruben

Katika makala haya tutasikia mahojiano yetu na mwanamuziki Mack el Sambo kutoka Goma DRC akielezea namna muziki wa rege unavyotumika kuhubiri amani, karibu