Nyumba ya Sanaa

Sanaa ya muziki katika kufikisha jumbe mbalimbali

Sauti 21:18
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Viva Wakuwaku wa Tanzania akiwa ndani ya studio za rfikiswahili
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Viva Wakuwaku wa Tanzania akiwa ndani ya studio za rfikiswahili RFI/Sabina

Katika makala haya hii leo kutana na msanii Viva Wakuwaku wa Tanzania anayetamba na kibao "Nakuhitaji" na utafahamu alivyoanza safari ya muziki hadi alipo hivi sasa pamoja na changamoto zinazomkabili kama msanii chipukizi. Karibu