Muziki Ijumaa

Mwanamuziki France Gall afariki dunia

Sauti 10:34
Mwanamuziki France Gall wakati wa uhai wake
Mwanamuziki France Gall wakati wa uhai wake Facebook/france Gall

Makala haya Muziki Ijumaa Ali Bilali anamzungumzia mwanamuziki wa Ufaransa France Gall aliefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70 kutokana na maradhi ya saratani. Sikiliza Makala haya ili kufaham zaidi maisha ya mwanamuziki huyo.