Muziki Ijumaa

Charly na Nina wanamuzuki wa Kike nchini Rwanda wanaopata mafaanikio makubwa

Sauti 12:03
Charly na Nina wanamuziki wa Kike nchini Rwanda wanaofanya vema ndani na nnje ya nchi yao
Charly na Nina wanamuziki wa Kike nchini Rwanda wanaofanya vema ndani na nnje ya nchi yao charly na Nina/Facebook

Juma hili, Ali Bilali anakupeleka nchini Rwanda ambako anawazungumzia wanamuziki wawili wa Kike Charly na Nina ambao wameendelea kufanya vizuri kila uchao kiasi cha kualikwa huku na kule duniani. ambatana naye kusikiliza na kufaham mengi zaidi kuhusu wanamuziki hawa.