Muziki Ijumaa

Foby mwanamuziki, mtunzi anaetusua na wimbo wake Ng'ang'ana

Sauti 11:55
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Foby, ndani ya Studio za RFI Kiswahili na Ali Bilali
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Foby, ndani ya Studio za RFI Kiswahili na Ali Bilali RFI/BILALI

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Foby aridhishwa na mapokezi ya wimbo wake mpya Ng'ang'ana unaofanya vizuri kwa sasa. Wiki hii amekuwa mgeni katika makala ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali.