Historia ya Tamasha la Amani lonalofanyika kila mwaka mjini Goma

Sauti 20:13
Tamasha la Amani mjini Goma Mashariki mwa DRC
Tamasha la Amani mjini Goma Mashariki mwa DRC amanifestival.com

Makala haya ya Changu chako chako changu, uma hili, mtangazaji wako Ali Bilali anakupeleka mjini Goma, mashariki mwa DRCongo kukueleza zaidi kuhusu tamasha la Amani ambalo hufanyika kila mwaka katika eneo hilo na ambalo hujumuisha wanamuziki kutoka katika maeneo mbalimbali ya dunia.